Wakazi wilayani malinyi wametakiwa kuhakikisha mifugo yao inapimwa na mtaalamu kabla haijapelekwa buchani kwa ajili ya mauzo
kauli hiyo imetolewa na mtaalamu wa mifugo bwana Absalom Gypson katika mnada wa bidhaa mbalimbali katika kijiji cha Saramiti ambzpo huuzwa pia na nyama.
Absalom ameeleza kuwa baadh ya watu wamekuwa wakichinja mifugo yao pasipo kumshirikisha daktari wa mifugo kwa ajili ya kupima na kujua kama nyama inafaa au laa.
Hata hivyo ameongeza kuwa kwa yeyote atakayegundulika kufanya hivyo bila kutoa taarifa atachukuliwa hatua kali dhidi yake.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.