waumini wa dini ya kiislam wilayani malinyi wameaswa kuyatenda yale yaliyo mema hata mara baada ya mwezi mtukufu wa ramadhan.
Yemeelezwa hayo na shekhe wa wilaya karume katika ibada ya Idd el fitr iliyofanyika viwanja vya msikiti wa bakwata wilayani humo.
Hata hivyo ameongeza kuwa mara baada ya kuisha kwa mfungo wa ramadhan wengi wamekuwa wakijisahau na kufuata yasiyompendeza mwenyezi mungu.
Waislam ulimwenguni kote leo wamesherehekea sikuu ya idd el ftr ambapo husherehekewa mara baada ya kumaliza mwezi mtukufu wa ramadhani.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.