Jumlaya wanafunzi 2206 wa darasa la saba wilayani malinyi mkoani morogoro wameanza mtihani wa taifa hii leo.
Mtihani huo ambao utafanywa kwa muda wa siku mbili jumatano na alhamisi huku wavulana wakiwa ni 1067 na wasichana 1139 kwa shule zote.
Afisa elimu msingi wilayani malinyi Silvester Kalagila amesema kuwa mpaka mtihani unaanza asubuhi ya leo hakunachangamoto zozote zilizojitokeza hivyo hali ni shwari.
Aidha amewaasa wanafunzi hao kutokuwa na woga na wafanye vizuri kwani yake waliyofundishwa darasani ndiyo yanyotoka kwenye mtihani.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.