Mwenge wa uhuru umekimbizwa maeneo mbalimbali katika tarafa ya mtimbira na malinyi wilayani malinyi.
Aidha mwenge huo ambao alipokelewa kutoka halmashauri ya wilaya ya ulanga na kukimbizwa wilayani malinyi ulipitia miradi mbalimbali katika tarafa hizo ikiwemo kujione,kufungua na hata kuweka jiwe la msingi chini ya kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa Amour Hamad Amour.
Hata hivyo mwenge wa uhuru ukakabidhiwa katika halmashauri ya mji ifakara tarehe 16 juni 2017 chini ya mkuu wa wilaya ya malinyi Majura Kasika na kupokelewa na kaimu mkuu wa wilaya ya kilombero ambaye ni mkuu wa wilaya ya ulanga Jackob Kasema.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.