Wakuuwa idara na vitengo wilayani malinyi wamepatiwa mafunzo juu ya watumishi waumma wapya.
Mafunzohayo yametolewa leo na wawakilishi kutoka ofisi ya katibu tawala mkoa chini yaofisi ya Rais tawala za mokia na serikali za mitaa yanayohusu kiongozi chautaratibu wa mafunzo elekezi ya awali kwa watumishi wapya wa sekretariet zamikoa ns mamlaka za serikali za mitaa.
Aidhamafunzo hayo ambayo yapo chini ya ushirikiano na OFISI YA RAIS TAMISEMI nauimarishaji mifumo ya sekta za umma (PS3) huku ikiwa na lengo ala kuisaidiaseerikali ya Tanzania kuimarisha utowaji wa guduma katika sekta mbalimbali hasakatika jamii zenye uhitaji zaidi.
Mwakilishiwa afisa tawala mkoa bi christa Njovu amewataka viongozi hao kuzingatia mafunzoyote yaliyotolewa na kuyafanyia kazi kwa wakati husika.
Hatahivyo kwa niaba ya halmashauri ya wialaya ya malinyi ambaye pia ni afisa tawalandugu George Razalo ameshukuru sana mafunzo hayo yaliyotolewa na kusema kuwa nivitu vya msingi kwa halmashauri kwani mifumo imeimarishwa hivyo wataichukuliamaanani zaidi katika utendaji.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.