Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Malinyi Bi HAWA MPOSSI leo tarehe 29.10.2020 saa mbili kamili usiku akiwa eneo la Makao Makuu ya Halmashauri amemtangaza ANTIPAS MGUNGUSI kuwa Mbuge wa Jimbo la Malinyi. MGUNGUSI amepata kura 37495 kati ya kura 58989 zilizopigwa.
Akiongea Mbuge ANTIPAS MGUNGUSI amewaahidi Wananchi kuwa atashirikiana nao bega kwa bega katika kuleta maendeleo ya Jimbo hilo. Pia aliwashukuru kwa kumuamini.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.