Wanafunzi wametakiwa kujituma katika masomo yao ili kuweza kufikia katika malengo waliyojiwekea.
Kauli hiyo imetolewa wilayani malinyi na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa 2018 charles francis kabeho.
Kabeho amesema kuwa kama kauli mbiu ya mwenge wa uhuru kwa mwaka huu inavyosema elimu ni ufunguo wa maisha wekeza sasa kwa maendeleo ya taifa letu hivyo ni vyema kuwekeza katika elimu.
Hata hivyo amepongeza wilaya ya malinyi kwa kutokuwa na wanafunzi wa utoro sugu na uliokithiri hivyo waendelee hivyo kamwe wasije badilika.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.