Halmashauri ya wilaya ya malinyi imepokea jumla ya walimu 7 wa masomo ya sayansi.
Kaimu afisa elimu sekondari wilayani humo bwana James Msindo amesema kuwa licha ya Walimu hao kuwasili siku chache zilizopita tayari wamekwisha elekea katika shule mbalimbali walizopangiwa.
Aidha ameongeza kuwa licha ya wilaya kupokea walimu hao 7wa kiume tupu lakini bado ina uhitaji wa zaidi ya walimu 66 wa masomo ya sayansi na 25 kwa masomo ya sanaa
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.