Timu ya CHF ya Wilaya ya Malinyi ilikwama njiani wakati ikielekea kata ya Biro kutokana na ubovu wa Barabara. Tukio hilo lilitokea siku ya Ijumaa tarehe 19/05/2017,kwenye barabara ya Tanga Biro.
Lakini baadae walifanikiwa kutoka mahari hapo baada ya kuvutwa na Trekta. Timu hiyo iliyowahusisha Meneja wa CHF ndugu NASSORO JABIL, Mshauri wa CHF kwa Wilaya ya Malinyi bwana OMARY MAMMU, Afisa Tehama wa CHF bwana STANSLAUS S. CHAEKA pamoja na Watu wengine ilikuwa katika uhamasishaji wa CHF wenye lengo la kufikia kaya 50% kwa Wilaya ifikapo mwezi Julai mwaka huu.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.