Ujimbaji wa Visima unaoendelea Wilayani Malinyi unaendelea kuimarisha upatikanaji wa Maji katika Wilaya hiyo. Uchimbaji huo unaendelea sehemu mbali mbali za Wilaya ya Malinyi. Pichani ni Mhandisi wa Maji Bw Patrick Ndunguru akikagua kisima cha Maji kinachochimbwa Kijiji cha Igawa, Kata ya Igawa, Wilayani Malinyi
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.