Kamati ya madiwani ya fedha na mipango imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali inayoendelea katika Halmashauri,ziara hiyo imefanyika mwezi huu April 2019, miradi hiyo iliyotembelewa ni ujenzi wa ofisi ya makao makuu ya wilaya,ujenzi wa madarasa katika shule ya sekondari Usangule na ujenzi wa madarasa katika shule ya sekondari Mtimbira.
Akiongea na katika ziara hiyo mwenyekiti wa kamati hiyo amepongeza hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa ofisi ya makao .
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.