Wakazi wa kijiji cha ihowanja tarafa ya ngoheranga wametakiwa kuhamasika juu ya ujenzi wa shule ya sekondari ambao tayari ulikwishaanza.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya malinyi majura kasika kwenye mkutano aliofanya na wanakijiji hao kuhusiana na uhamasishaji wa ujenzi huo.
Aidha amewataka wakazi hao kuwa na benki tofali za kutosha ili ziweze kuwasaidia katika ujenzi huo na hata katika shughuli zimgine mbalimbali za kimaendeleo.
Hata hivyo ameongeza kuwa kila kaya kuchangia shilingi elfu ishirini (2000) badala ya 5000 waliyoipanga awali huku ofisi yake ikiahidi kutoa kiasi cha shilingi laki 2 ili kuweza kufanikisha zoezi hilo.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.