NINI TUNAFANYA
katika halmashauri ya wilaya ya malinyi kuna mambo mengi ambayo tunayafanya ili kuimarisha na hata kuleta maendeleo katika wilaya, mambo hayo ni pamoja na kilimo cha mpunga, uvuvi wa samaki , kilimo cha umwagiliaji pia watu wamejiwekeza huko na si kutegemea kilimo cha mvua pekee kwani wanafanya hivyo kutokana na mabadiliko ya tabia nchi,
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.