• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Malinyi District Council
Malinyi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Mipango
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Machine Investment
    • Skimu ya Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili Madiwani
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Kata
      • Biro
      • Igawa
      • Itete
      • Kilosa Mpepo
      • Mtimbira
      • Malinyi
      • Njiwa
      • Ngoheranga
      • Sofi
      • Usangule
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Matamko ya mbalimbali
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video

DC WARYUBA AZINDUA ZOEZI LA UMEZAJI DAWA ZA MINYOO YA TUMBO NA KICHOCHO

Posted on: February 15th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mheshimiwa Sebastian Waryuba amezindua rasmi zoezi la umezaji Dawa za Minyoo ya Tumbo na Kichocho tarehe 12 Februari 2026 katika Shule ya Msingi Ngongwa.

Zoezi hili linatarajiwa kuwafikia jumla ya Wanafunzi 40,193 wenye umri wa miaka 5 hadi 14 katika shule zote za Msingi Wilayani Malinyi. Katika Kampeni hii Wanafunzi wanapatiwa dawa za Albendazole kwa ajili ya minyoo ya tumbo na Praziquantel kwa ajili ya Kichocho, kwa kuzingatia miongozo ya Wizara ya Afya. Lengo la zoezi hili ni kudhibiti na kupunguza maambukizi ya magonjwa haya, kulinda afya za watoto wetu, kuboresha ukuaji wao na kuongeza uwezo wa kujifunza  shuleni.

Ushirikiano wa Serikali, Walimu, Wahudumu wa Afya, Wazazi ni nguzo muhimu katiks kuhakikishs mafanikio ya kampeni hii.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia yote

Habari za hivi punde

  • DC WARYUBA AZINDUA ZOEZI LA UMEZAJI DAWA ZA MINYOO YA TUMBO NA KICHOCHO

    February 15, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI LAPITISHA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 30.8 KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    February 11, 2026
  • DED KHAMIS KATIMBA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA TATHMINI YA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA NA DARASA LA NNE KWA MWAKA 2024 na 2025

    February 11, 2026
  • DC WARYUBA AONGOZA KIKAO CHA USHAURI CHA WILAYA KUJADILI RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    January 31, 2026
  • Angalia yote

Video

DAS MALINYI AKIKABIDHI PIKIPIKI KWA WARATIBU ELIMU KATA
Video zaidi

Tovuti za haraka

  • Matangazo
  • Habari za Hivi punde

Tovuti Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Tovuti ya Ajira
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2022
  • Matokeo ya Kidato cha Nne
  • SALARY SLIP PORTAL
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

    Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro

    Telephone: 0643111999

    Mobile:

    Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.