• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Malinyi District Council
Malinyi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Mipango
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Machine Investment
    • Skimu ya Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili Madiwani
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Kata
      • Biro
      • Igawa
      • Itete
      • Kilosa Mpepo
      • Mtimbira
      • Malinyi
      • Njiwa
      • Ngoheranga
      • Sofi
      • Usangule
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Matamko ya mbalimbali
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video

DED KHAMIS KATIMBA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA TATHMINI YA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA NA DARASA LA NNE KWA MWAKA 2024 na 2025

Posted on: February 11th, 2026

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Ndugu Khamis Katimba amefungua Kikao Kazi cha Tathmini ya Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba na Darasa la Nne kwa mwaka 2024 na 2025. Kikao hiko kimefanyika katika Ukumbi wa Ngakawa Malinyi tarehe 9 Februari 2025.

Katika hotuba yake ya Ufunguzi DED Khamis Katimba amesema moja ya ndoto yake ni kuifanya Halmashauri ya Malinyi kupaa kimichezo.

DED Khamis Katimba pia aliwausia Washiriki wawe na nidhamu kwenye kila kitu kuanzia kwenye uandaaji wa masomo, ufundishaji, mahusiano nk.

Aidha DED Katimba amewataka Wakuu wa Shule washuke chini kwa Walimu wao, wajishushe ili wajue wana matatizo gani ili waweze kujua changamoto zao na kuzishughulikia amesisitiza hakuna kinachoharibika kwenye kujishusha na pia ametaka kila mtu am bane mwenzake kwenye kutimiza wajibu wake.

Kuhusu Usimamizi wa Miradi DED Katimba amesema Serikali inaleta Fedha za kujenga Miradi inatakiwa isimamiwe vizuri "Performance depend on Academic and non Academic factor" hivyo ukishakuwa Mwalimu Mkuu wewe tayari ni Engineer, Accountant, Procurement nk. Ukizembea unaiweka nafasi yako kwenye Mtihani hivyo ni lazima Walimu Wakuu wajiongeze wasifikirie KKK tu.

Kwa upande wa Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi Ndugu Maajabu Nkanyemka amesema Kikao hiko kitatoa Dira namna wanavyoupokea mwaka mpya na ni faraja kwa Ufaulu wa asilimia 95.73% Darasa la Saba na Asilimia 94.04% Darasa la Nne mwaka 2025. Amemuomba Mwenyezi Mungu awape ujasiri na nguvu ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa mwaka 2026.

Kikao Kazi hiko kimejadili na kufanya tathmini ya Matokeo ya Darasa la Saba na la Nne 2025 na Mikakati ya 2026, Mrejesho wa Kikao cha Utekelezaji Robo ya 2 ( Gairo) na Mrejesho wa Kikao cha Maafisa Elimu Taaluma cha tarehe 2/02/2026, Miradi ya Maendeleo, Michezo, Mitihani ya Utamirifu (Kalenda) 2026, Lishe na Utoaji taarifa za Robo Wiki. Pia Washiriki walipata wasaa wa kupata maelekezo kutoka Ofisi za Utumishi, Udhibiti Ubora wa Shule na TSC.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia yote

Habari za hivi punde

  • DED KHAMIS KATIMBA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA TATHMINI YA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA NA DARASA LA NNE KWA MWAKA 2024 na 2025

    February 11, 2026
  • DC WARYUBA AONGOZA KIKAO CHA USHAURI CHA WILAYA KUJADILI RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    January 31, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LIMEPITISHA TAARIFA ZA KAMATI ZA ROBO YA PILI KWA MWAKA 2025/2026

    January 25, 2026
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO IMEKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILLIONI 954,800,000

    January 18, 2026
  • Angalia yote

Video

DAS MALINYI AKIKABIDHI PIKIPIKI KWA WARATIBU ELIMU KATA
Video zaidi

Tovuti za haraka

  • Matangazo
  • Habari za Hivi punde

Tovuti Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Tovuti ya Ajira
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2022
  • Matokeo ya Kidato cha Nne
  • SALARY SLIP PORTAL
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

    Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro

    Telephone: 0643111999

    Mobile:

    Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.