• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Malinyi District Council
Malinyi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Mipango
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Machine Investment
    • Skimu ya Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili Madiwani
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Kata
      • Biro
      • Igawa
      • Itete
      • Kilosa Mpepo
      • Mtimbira
      • Malinyi
      • Njiwa
      • Ngoheranga
      • Sofi
      • Usangule
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Matamko ya mbalimbali
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video

DC WARYUBA AONGOZA KIKAO CHA USHAURI CHA WILAYA KUJADILI RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

Posted on: January 31st, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mheshimiwa Sebastian Waryuba ameongoza Kikao cha Ushauri cha Wilaya kujadili Rasimu ya Mpango na Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.

Katika Kikao hiko Washiriki walipata nafasu ya kujadili kwa kins utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Kipindi cha Nusu Mwaka ( Julai 1,2025 hadi Disemba 31,2025 na mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027.

DC Waryuba ametoa maelekezo kama ifuatavyo katika Kikao hiko

Ametaka vibali vya sherehe visimamiwe na Sherehe ziwe na maadili watoto wadogo wazuiwe kushiriki.

Ameitaka Halmashauri iunde Mfuko wa Elimu" Malinyi Education Development Fund" amesema utapunguza changamoto za Walimu na Lishe Mashuleni.

Amewataka Wataalamu waandae takwimu sahihi mfano za Kilimo, Mifugo na Uvuvi.

Amewataka Watendaji Kata wote wapate takwimu za Watoto wote walioripoti shule mpaka wiki ya Pili Februari, Wazazi wa watoto wasioripoti wakamatwe.

Amewaomba Wananchi wajiandikishe kwenye Bima ya Afya ya Wote (NHIF) na pia wajiandikishe kwenye Daftari la Wakazi.

Amesisitiza kusimamia Lishe kwa Watoto Mashuleni na Wazazi ni lazima wapeleke chakula mashuleni.

Watendaji Kata kufikia tarehe 15 Februari 2026 walete orodha ya Guest zote zilizopo ndani ya Halmashauri ya Malinyi.

Mkaguzi wa Ndani "Internal Auditor" awe anaenda kukagua Watendaji wa Vijiji kabla ya kuhama vituo vya kazi.

Upangaji wa Minada ya Mifugo unatakiwa ufuate soko linavyokwenda.

Watendaji wa Kata na Vijiji wahamasishe Wananchi wajiandikishe kwenye mfumo wa Wazabuni (Nest)

Watoa Huduma ndani ya Halmashauri ni lazima walipe "Service Levy" kwa mujibu wa sheria.

Halmashauri itengeneze Rasimu ya Bajeti iboreshwe kwani itapimwa kwa namna ilivyokusanya mapato na ilivyotumia.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia yote

Habari za hivi punde

  • DC WARYUBA AONGOZA KIKAO CHA USHAURI CHA WILAYA KUJADILI RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    January 31, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LIMEPITISHA TAARIFA ZA KAMATI ZA ROBO YA PILI KWA MWAKA 2025/2026

    January 25, 2026
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO IMEKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILLIONI 954,800,000

    January 18, 2026
  • DC WARYUBA AFUNGUA KIKAO CHA KURATIBU ZOEZI LA KITAIFA LA UGAWAJI WA VYANDARUA KWENYE KAYA BILA MALIPO KWA WILAYA YA MALINYI

    January 13, 2026
  • Angalia yote

Video

DAS MALINYI AKIKABIDHI PIKIPIKI KWA WARATIBU ELIMU KATA
Video zaidi

Tovuti za haraka

  • Matangazo
  • Habari za Hivi punde

Tovuti Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Tovuti ya Ajira
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2022
  • Matokeo ya Kidato cha Nne
  • SALARY SLIP PORTAL
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

    Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro

    Telephone: 0643111999

    Mobile:

    Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.