• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Malinyi District Council
Malinyi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Mipango
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Machine Investment
    • Skimu ya Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili Madiwani
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Kata
      • Biro
      • Igawa
      • Itete
      • Kilosa Mpepo
      • Mtimbira
      • Malinyi
      • Njiwa
      • Ngoheranga
      • Sofi
      • Usangule
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Matamko ya mbalimbali
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video

Madiwani wafanya ziara ya mafunzo Tandahimba

Posted on: March 2nd, 2023

madiwani wa halmashauri ya wilaya ya malinyi wamejifunza mfumo wa stakabadhi ghalani kwa lengo wilayani Tandahimba kwa lengo la kuboresha mfumo wa makusanyo ya fedha katika mazao yanayolimwa wilayani Malinyi,Tandahimba ni wilaya ambayo imefanikiwa katika ukusanyaji wa fedha za mazao kama korosho na ufuta kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani.

   Mafunzo hayo ni mahususi  kwa ajili ya kufanikisha  mfumo wa stakabadhi ghalani ambao katika msimu wa kilimo uliopita wa mwaka 2021/2022 ulitumika kuuzia zao la koroshokatika chama kikuu cha ushirika cha Ulanga kilombero ambacho ni chama kikuu cha wilaya tatu za Malinyi, kilombero na Ulanga.

 akizungumza katika mafunzo hayo, mwenyekiti wa Halmashauri ya Tandahimba mh.Baisa Baisa amesema mfumo wa huo wa stakabadhi ghalani ghalani ukisimamiwa vema unaweza kusaidia upatikanaji wa mapato makubwa.kutokana na hoja hizo zilizotolewa na mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi walitaka kujua namna ya kukusanya Kodi mbalimbali za zao la korosho ambalo ndilo hasa lililoingizwa katika mfumo huu wilayani Malinyi.ambapo Mwanasheria wa Halimashauri hiyo ya Tandahimba akijibu hoja za madiwani hao amewataka madiwani wa malinyi kuhamasisha wananchi kulima mazao ambayo wanalenga kuyauza katika mfumo wa stakabadhi ghalani. ambayo ni ufuta na korosho lakini pia ameshauri Halmashauri ya wilaya ya Malinyi kutengeneza mfumo maalumu wa uuzaji wa zao la mpunga ambalo ndilo zao kuu la kilimo wilayani malinyi.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020/2021 December 18, 2020
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020 January 17, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI January 18, 2021
  • Tangazo la Nafasi za kazi May 26, 2022
  • Angalia yote

Habari za hivi punde

  • Kitengo cha macho hospitali ya wilaya ya malinyi chazinduliwa na kufanya upasuaji wa kwanza

    March 20, 2023
  • Kitengo cha macho hospitali ya wilaya ya malinyi chazinduliwa na kufanya upasuaji wa kwanza

    March 20, 2023
  • Madiwani wafanya ziara ya mafunzo Tandahimba

    March 02, 2023
  • katibu mkuu CCM Awaasa Viongozi/Wanachama Malinyi

    February 03, 2023
  • Angalia yote

Video

DAS MALINYI AKIKABIDHI PIKIPIKI KWA WARATIBU ELIMU KATA
Video zaidi

Tovuti za haraka

  • Matangazo
  • Habari za Hivi punde

Tovuti Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Tovuti ya Ajira
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2022
  • Matokeo ya Kidato cha Nne
  • SALARY SLIP PORTAL
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

    Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro

    Telephone: 0643111999

    Mobile:

    Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.