• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Malinyi District Council
Malinyi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Mipango
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Machine Investment
    • Skimu ya Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili Madiwani
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Kata
      • Biro
      • Igawa
      • Itete
      • Kilosa Mpepo
      • Mtimbira
      • Malinyi
      • Njiwa
      • Ngoheranga
      • Sofi
      • Usangule
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Matamko ya mbalimbali
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video

Miradi 7 yenye thamani ya shilingi 957,020,477.11 yapitiwa na mwenge wa uhuru mwaka 2021

Posted on: August 7th, 2021

 Jumla ya miradi 8 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi milioni 957,020,477.11 imepitiwa na mwenge wa uhuru  katika wilaya ya Malinyi kwa mwaka 2021. Katika miradi hiyo wadau mbalimbali wamechangia ikiwemo halmashauri shilingi milioni 37,wananchi shilingi milioni 16,866,000,serikali kuu shilingi milioni 617,854,977.11 na wahisani shilingi milioni 285,299,500. Aidha katika miradi hiyo,miradi mitatu ilionwa na mwenge huku miradi miwili iliwekewa jiwe la msingi na miradi miwili kuzinduliwa na hakuna mradi uliokataliwa na kiongozi wa mbio za mweng. Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa shule mpya ya njiwa wenye gharama ya shilingi milioni46.766,mradi wa ghala la kuhifadhia na kuchakata nafaka(MIC RICE MILL) wenye gharama ya shilingi milioni 180,ujenzi wa mradi wa maji Sofi Mission wenye gharama ya shilingi milioni 436 na ujenzi wa jengo la utawala-uthibiti ubora wa shule wenye gharama za shilingi milioni 181.81. Miradi mingine ni ujenzi wa wodi ya watoto wachanga Lugala wenye thamani ya shilingi milioni 104.8,kikundi cha kutengeneza sabuni(Kombola-Malinyi)wenye thamani ya shilingi milioni 7.6 na klabu ya wapinga rushwa shule ya msingi Mwembeni

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020/2021 December 18, 2020
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020 January 17, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI January 18, 2021
  • Tangazo la Nafasi za kazi May 26, 2022
  • Angalia yote

Habari za hivi punde

  • Changamoto ya mawasiliano kubaki historia Malinyi

    January 10, 2023
  • Changamoto ya mawasiliano kubaki historia Malinyi

    January 10, 2023
  • Sherehe ya muungano yaadhimishwa kwa upandaji miti

    April 26, 2022
  • Malinyi inatarajia kutekeleza zoezi la utambuzi wa mifugo

    April 23, 2022
  • Angalia yote

Video

DAS MALINYI AKIKABIDHI PIKIPIKI KWA WARATIBU ELIMU KATA
Video zaidi

Tovuti za haraka

  • Matangazo
  • Habari za Hivi punde

Tovuti Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Tovuti ya Ajira
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2022
  • Matokeo ya Kidato cha Nne
  • SALARY SLIP PORTAL
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

    Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro

    Telephone: 0643111999

    Mobile:

    Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.