• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Malinyi District Council
Malinyi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Mipango
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Machine Investment
    • Skimu ya Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili Madiwani
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Kata
      • Biro
      • Igawa
      • Itete
      • Kilosa Mpepo
      • Mtimbira
      • Malinyi
      • Njiwa
      • Ngoheranga
      • Sofi
      • Usangule
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Matamko ya mbalimbali
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video

MKURUGENZI KATIMBA AWATAKA WATUMISHI KATIKA SEKTA YA AFYA KUFANYA KAZI KWA UMAKINI.

Posted on: August 28th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Ndugu Khamis Jaaphar Katimba amewataka Watumishi katika sekta ya afya kuongeza umakini katika kazi zao, kutende haki na kuwa Waadilifu wanapowahudumia Wananchi.


Mkurugenzi Katimba ameyasema hayo wakati akizungumza katika kikao cha uwasilishaji taarifa robo ya nne( April- Juni 2023/204)kilichohusisha Timu ya Waendeshaji huduma za afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi , Waganga

 Wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya pamoja na Wadau wanaounga mkono juhudi za Serikali katika sekta ya afya.


Mkurugenzi huyo amesema kazi za sekta ya afya ni wito hivyo amewataka Wataalam hao wa afya kujituma, kuwa wavumilivu, kuepuka mianya ya rushwa na kusaidiana katika majukumu yao ili Wananchi waweze kupata huduma bora za afya kama ilivyo dhamira ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sekta hiyo.


Hata hivyo Mkurugenzi Katimba amewataka Wataalam hao wa afya kuwa wasimamizi wa miradi ya serikali inayotekelezwa katika maeneo wanayofanyia kazi, ili kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa kwa viwango sahihi na kukamilika kwa wakati ili Wananchi wapate huduma za afya katika maeneo yao.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia yote

Habari za hivi punde

  • SERIKALI YATENGA SH. BILIONI 18 KWAAJILI YA UJENZI WA MADARAJA MAWILI WILAYANI MALINYI

    April 24, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI YAPONGEZWA KWA UKUSANYAJI WA MAPATO

    April 24, 2025
  • KESI ZOTE ZA MIGOGORO YA ARDHI SASA KUSAJILIWA NA KUSIKILIZWA MALINYI

    March 24, 2025
  • "ITISHENI MIKUTANO YA VIJIJI"

    March 20, 2025
  • Angalia yote

Video

DAS MALINYI AKIKABIDHI PIKIPIKI KWA WARATIBU ELIMU KATA
Video zaidi

Tovuti za haraka

  • Matangazo
  • Habari za Hivi punde

Tovuti Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Tovuti ya Ajira
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2022
  • Matokeo ya Kidato cha Nne
  • SALARY SLIP PORTAL
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

    Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro

    Telephone: 0643111999

    Mobile:

    Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.