• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Malinyi District Council
Malinyi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Mipango
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Machine Investment
    • Skimu ya Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili Madiwani
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Kata
      • Biro
      • Igawa
      • Itete
      • Kilosa Mpepo
      • Mtimbira
      • Malinyi
      • Njiwa
      • Ngoheranga
      • Sofi
      • Usangule
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Matamko ya mbalimbali
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video

Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Asisitiza utoaji wa lishe bora kwa watoto

Posted on: February 26th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Mathayo Masele amesisitiza utoaji wa Lishe Bora kwa watoto wakati wa kikao cha Tathmini ya  Mkataba wa utekelezaji wa AFUA ZA LISHE ngazi ya Kata na Vijiji robo ya pili (OCTOBA-DISEMBA 2020) kilichofanyika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi tarehe 26 februari, 2021.

Mhe. Mkuu wa Wilaya amemwomba Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Mhe. Hawa Lumuli Mpossi katika kikao kijachokuwepo na ripoti ya kutembelea Kata zote, na kujua ukaguzi wautoaji wa Lishe umefanyika kwa kiasi gani, na wameshauri kwa kiwango gani na udumavu umeisha kwa kiasi gani.

Pia Mhe. Mkuu wa Wilaya amewataka wajumbe wa kamati ya Lishe kuwatambua wadau wote wa Lishe ili kuweza kutokomeza udumavu katika Wilaya ya Malinyi.

Aidha, Afisa Lishe (W) Bwana Samwel Mwita Masiaga amewahimiza Watendaji wa Kata na Vijiji katika kuendesha siku za Lishe katika kila Kijiji na kutoa taarifa za utekelezaji wa AFUA za LISHE kila mara wanapoipata kwa Mwezi na kwa robo mwaka.

Wakati wa wajadiliano Mhe. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Mhe. Hawa Lumuli Mpossi alimalizia kwa kuwaelekeza watendaji wa kata wote na Vijiji kuhakikisha ifikapo tarehe 05 Machi, 2021 wawe wamefanya mikutano ya vijiji ya Lishe na kuanzisha sheria ndogo ndogo za lishe kwa kila kijiji.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020/2021 December 18, 2020
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020 January 17, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI January 18, 2021
  • Tangazo la Nafasi za kazi May 26, 2022
  • Angalia yote

Habari za hivi punde

  • Changamoto ya mawasiliano kubaki historia Malinyi

    January 10, 2023
  • Changamoto ya mawasiliano kubaki historia Malinyi

    January 10, 2023
  • Sherehe ya muungano yaadhimishwa kwa upandaji miti

    April 26, 2022
  • Malinyi inatarajia kutekeleza zoezi la utambuzi wa mifugo

    April 23, 2022
  • Angalia yote

Video

DAS MALINYI AKIKABIDHI PIKIPIKI KWA WARATIBU ELIMU KATA
Video zaidi

Tovuti za haraka

  • Matangazo
  • Habari za Hivi punde

Tovuti Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Tovuti ya Ajira
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2022
  • Matokeo ya Kidato cha Nne
  • SALARY SLIP PORTAL
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

    Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro

    Telephone: 0643111999

    Mobile:

    Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.