• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Malinyi District Council
Malinyi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Mipango
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Machine Investment
    • Skimu ya Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili Madiwani
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Kata
      • Biro
      • Igawa
      • Itete
      • Kilosa Mpepo
      • Mtimbira
      • Malinyi
      • Njiwa
      • Ngoheranga
      • Sofi
      • Usangule
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Matamko ya mbalimbali
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video

"TUJENGE UELEWA WA PAMOJA KUHUSU MAGONJWA YA MLIPUKO"

Posted on: September 19th, 2024

Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Malinyi Bi Rehema Rajabu amesema kuwa mikakati ya kudhibiti magonjwa ya mlipuko( kuhara na kutapika) iliyopangwa na Sekta ya afya Wilayani Malinyi iwashirikishe Watendaji walio karibu na Wananchi ili kujenga uelewa wa pamoja ambao utasadia katika kuinusuru Wilaya ya Malinyi kutokana na magonjwa hayo ya mlipuko.


 Bi Rehema Rajabu ameyasema hayo wakati akizungumza katika kikao cha dharura cha Tathimini ya magonjwa ya mlipuko Wilaya ya Malinyi kilichofanyika Septemba 19, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri na kuhudhuriwa na Wadau mbalimbali wa sekta ya afya katika ngazi ya Wilaya.


Naye Kaimu Mjurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Bi Pendo Masalu amewataka Watendaji katika Kada zote kuchukua tahadhari na kushirikiana kwa pamoja katika kutokomeza magonjwa ya mlipuko Malinyi.


Aidha Kaimu Mkurugenzi amemuelekeza Mganga Mkuu wa Wilaya kuitumia vyema Kamati ya kuzuia magonjwa ya mlipuko ngazi ya Wilaya katika kuratibu zoezi hili.


Mapema, akizungumza katika kikao hiko Mganga Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Dokta Julias Nyasongo amesema kuwa tayari timu za Wataalam wa afya zimepita katika maeneo mbalimbali Wilayani Malinyi na kutoa elimu kwa Wakazi wa maeneo hayo juu ya namna bora ya kujikinga na mlipuko wa magonjwa hayo.


Hata hivyo, Dokta Nyasongo ametoa wito kwa Wakazi wote wa Malinyi kuzingatia kanunu za afya ambazo zimeelekezwa na Wataalam wa afya ambao wamepita katika makazi yao ili kuepukana na magonjwa hayo ya mlipuko.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia yote

Habari za hivi punde

  • MENEJA NMB KANDA YA KATI AKABIDHI MSAADA WA VITI NA MEZA 100 PAMOJA NA MADAWATI 100 KWA MKUU WA WILAYA YA MALINYI

    February 16, 2026
  • DC WARYUBA AZINDUA ZOEZI LA UMEZAJI DAWA ZA MINYOO YA TUMBO NA KICHOCHO

    February 15, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI LAPITISHA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 30.8 KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    February 11, 2026
  • DED KHAMIS KATIMBA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA TATHMINI YA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA NA DARASA LA NNE KWA MWAKA 2024 na 2025

    February 11, 2026
  • Angalia yote

Video

DAS MALINYI AKIKABIDHI PIKIPIKI KWA WARATIBU ELIMU KATA
Video zaidi

Tovuti za haraka

  • Matangazo
  • Habari za Hivi punde

Tovuti Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Tovuti ya Ajira
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2022
  • Matokeo ya Kidato cha Nne
  • SALARY SLIP PORTAL
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

    Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro

    Telephone: 0643111999

    Mobile:

    Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.