Posted on: May 8th, 2023
Mwenge wa uhuru 2023 umeridhia miradi yote iliyotembelewa katika halmashauri ya wilaya ya malinyi mkoani morogoro kuendelea na hatua mbalimbali za umaliziaji kwa miradi iliyowekewa jiwe la msingi huku...
Posted on: April 18th, 2023
Kamati ya Fedha Uongozi na mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi na baadhi ya wataalam wa Halmashauri wametembelea miradi mbalimbai ya maendeleo inayiotekelezwa katika Halmashauri hiyo.
...
Posted on: March 20th, 2023
Hospitali ya wilaya ya Malinyi imezindua huduma ya kitengo cha macho ambapo sasa kimeanza kutoa huduma rasmi Machi 20 ,2023 na kuzinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Sebastian Waryuba.
Kitengo hi...