Posted on: June 23rd, 2017
watumishi wa halmashauri ya wilaya ya malinyi wapongezwa kwa kuwa wabunifu kwenye kilele cha wiki ya utumishi wa umma.
Kauli hiyo imetolewa na katibu tawala mkoa morogoro Crifot Tandari  ...
Posted on: June 16th, 2017
Mwenge wa uhuru umekimbizwa maeneo mbalimbali katika tarafa ya mtimbira na malinyi wilayani malinyi.
Aidha mwenge huo ambao alipokelewa kutoka halmashauri ya wilaya ya ulanga na kukimbizwa wilayani...
Posted on: June 1st, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Ndg Steven Kebwe ameitembelea Wilaya ya Malinyi na kukagua shughuri za CHF. Katika Masafara huo Mkuu wa Mkoa alifuatana na Kaimu Mganga Mkuu Mkoa wa Morogoro, na Uongozi wa CH...