Posted on: April 29th, 2017
Maadhimisho ya siku ya usafi Wilayani Malinyi yamefanyika katika Maeneo mbali mbali, ambapo wafanyakazi wa Makao Makuu waliadhimisha kwa kufanya Usafi Maeneo ya kuzunguka Majengo ya Halmashauri. Katik...
Posted on: April 27th, 2017
UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU
Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini hali ya miundombinu ya barabara kwa baadhi ya maeneo wilayani malinyi imezidi kuwa ni changamoto.
Hata h...
Posted on: April 19th, 2017
Halmashauri ya wilaya ya malinyi imepokea jumla ya walimu 7 wa masomo ya sayansi.
Kaimu afisa elimu sekondari wilayani humo bwana James Msindo amesema kuwa licha ya Walimu hao kuwasili siku c...