• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Malinyi District Council
Malinyi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Mipango
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Machine Investment
    • Skimu ya Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili Madiwani
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Kata
      • Biro
      • Igawa
      • Itete
      • Kilosa Mpepo
      • Mtimbira
      • Malinyi
      • Njiwa
      • Ngoheranga
      • Sofi
      • Usangule
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Matamko ya mbalimbali
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video

katibu mkuu CCM Awaasa Viongozi/Wanachama Malinyi

Posted on: February 3rd, 2023

Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM Taifa Daniel Chongolo amewataka viongozi za vijiji kutokuwa chanzo cha migogoro katika maeneo yao na badala yake wanapaswa kuwa suluhu ya udhibiti wa migogoro hiyo kwa wananchi.

Dkt Chongolo ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha itete wilayani malinyi mkoani morogoro katika ziara ya siku moja wilayani hapa iliyolenga kukagua miradi ya maendeleo, kusikiliza kero za wananchi na kutatua kero za wananchi pamoja na kuangalia uhai wa chama wilayani hapa.

Aidha Dkt Chongolo ameongeza kuwa ukiona katika kijiji kuna mgogoro ama wa wakulima na wafugaji au mgogoro wa ardhi kati ya mwananchi mmoja na mwingine basi ujue uongozi wa eneo hilo unatatizo na hivyo akawataka viongozi wa vijiji kuongoza kwa kuzingatia haki na utawala bora.

Katika hatua nyingine Dkt Chongolo amemuagiza mkuu wa wilaya Mh. Sebastian Waryuba kufuatilia taarifa za uwekaji wa alama za mpaka wa kwanza na wapili unaotenganisha kijiji hicho na hifadhi ya bonde la mto kilombero na kuja na majibu yaliyokamilika kwa wananchi.

Pamoja na hayo Dkt Chongolo akiwa wilayani hapa wananchi na wanachama wa chama cha mapinduzi kuwalea watoto katika maadili mema ili kuwa na jamii yenye watu waadilifu na wachapakazi na hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi wa taifa.

Katika kuhakikisha nchi inakabiliana na mabadiliko ya tabianchi, Dkt Chongolo ameuagiza umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi wilayani hapa kupanda miti katika hospitali ya wilaya pamoja na maeneo mengine ikiwa ni jitihada za kuimarisha utunzaji wa mazingira kwa ustawi wa wilaya mkoa na taifa kwa ujumla.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020/2021 December 18, 2020
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020 January 17, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI January 18, 2021
  • Tangazo la Nafasi za kazi May 26, 2022
  • Angalia yote

Habari za hivi punde

  • Kitengo cha macho hospitali ya wilaya ya malinyi chazinduliwa na kufanya upasuaji wa kwanza

    March 20, 2023
  • Kitengo cha macho hospitali ya wilaya ya malinyi chazinduliwa na kufanya upasuaji wa kwanza

    March 20, 2023
  • Madiwani wafanya ziara ya mafunzo Tandahimba

    March 02, 2023
  • katibu mkuu CCM Awaasa Viongozi/Wanachama Malinyi

    February 03, 2023
  • Angalia yote

Video

DAS MALINYI AKIKABIDHI PIKIPIKI KWA WARATIBU ELIMU KATA
Video zaidi

Tovuti za haraka

  • Matangazo
  • Habari za Hivi punde

Tovuti Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Tovuti ya Ajira
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2022
  • Matokeo ya Kidato cha Nne
  • SALARY SLIP PORTAL
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

    Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro

    Telephone: 0643111999

    Mobile:

    Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.