Posted on: January 18th, 2026
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi tarehe 15 Januari 2026 imekagua utekelezaji wa Miradi yenye thamani ya takribani Shillingi Millioni 954,800,000 ikiwa ni Fedha z...
Posted on: January 13th, 2026
Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mheshimiwa Sebastian Waryuba amefungua Kikao cha kuratibu zoezi la kitaifa la ugawaji wa vyandarua kwenye kaya bila ya malipo kwa Wilaya ya Malinyi. Kikao hiko kimefanyika ka...
Posted on: January 10th, 2026
Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi yazindua Ugawaji na Upandaji wa Miche ya Michikichi na Kakao. Uzinduzi huo umefanywa na Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mheshimiwa Sebastian Waryuba tarehe 7 Januari 2026. I...