MAJUKUMU YA IDARA
1. Kushirikisha jamii katika mipango ya maendeleo ya Halmashauri.
2. Kuratibu Mipango upangaji na utekelezaji wa mda mrefu ikiwemo Mpango Mkakati wa Ilani ya Uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2005.
3 .Kuratibu upangaji wa mpango na bajeti ya Halmashauri.
4. Kusimamia utekelezaji wa mpango wa mwaka na Mipango ya mda mrefu na kuaratibu maandalizi ya taarifa za utekelezaji wa mipango kwenye Halmashauri na Wizara.
5. Kuratibu Mipango ya washiriki wa maendeleo ya Halmashauri wakiwemo wahisani wa Nje na ndani ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO na CBOs)
6.Ukusanyaji na uendelezaji wa Benki ya Takwimu ya Halmashauri .
7.Uendelezaji wa "Social Economic Profile"
8.Ufuatiliaji wa kutathimini uzingatiaji wa Sera na tafiti katika upatikanaji wa utekelezaji wa Mipango ya idara za Halmashauri.
9. Kusimamia shughuli za maboresho ya Halmashauri ikiwemo tathmini ya kupatiwa Ruzuku ya Maendeleo.
10.Kuratibu Miradi ya wahisani ikiwemo miradi inayotekelezwa kwa pamoja na miji dada.
11.Kusimamia Uendeshaji wa masoko
12. Kuratibu uendelezaji wa vitega uchumi.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.