• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Malinyi District Council
Malinyi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Mipango
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Machine Investment
    • Skimu ya Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili Madiwani
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Kata
      • Biro
      • Igawa
      • Itete
      • Kilosa Mpepo
      • Mtimbira
      • Malinyi
      • Njiwa
      • Ngoheranga
      • Sofi
      • Usangule
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Matamko ya mbalimbali
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video

Malinyi inatarajia kutekeleza zoezi la utambuzi wa mifugo

Posted on: April 23rd, 2022

Halmashauri ya wilaya ya malinyi mkoani morogoro inatarajia kuanza utekelezaji wa zoezi la

uwekaji wa hereni za kieletroniki kwa mifugo ya ng'ombe,punda,kondoo na mbuzi kwa lengo la

kutambua idadi ya mifugo iliyopo pamoja na kudhibiti ongezeko la mifugo  hiyo.

Akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani kaimu afisa mifugo wa halmashauri ya wilaya ya

malinyi bwana Goodluck Mosha amesema zoezi la uwekaji wa hereni za kieletroniki ni mbadala

wa zoezi kama hilo ambapo awali mifugo ilikuwa ikiwekwa alama kwa kupigwa chapa ambazo

baadae zilifutika na hivyo kufanya serikali kukosa taarifa sahihi za idadi kamili ya mifugo iliyopo

nchini.

Bwana Mosha ameongeza kuwa zoezi hilo limekuja wakati ambapo halmashauri tayari

ilishapitisha bajeti na kutoa fursa kwa mawakala kuendesha zoezi hilo ambapo kila mfugaji

atalazimika kutoa shilingi 1750 kwa kila ng'ombe na punda na shilingi 1000 kwa kila kondoo na

mbuzi huku kiasi kidogo kinachotokana na mapato ya zoezi hilo yakibaki katika halmashauri.

Aidha bwana mosha amesema kwa kuwa mifugo inatayotakiwa kuvishwa hereni hizo ni ile

iliyofikisha umri wa miezi mitatu na kuendelea hivyo hilo ni zoezi endelevu kwa kila mwaka hivyo

basi halmashauri inaendelea kujipanga ambapo baadae itaanza kusimamia zoezi hilo na

kunufaika zaidi na mapato yatokanayo na zoezi hilo.

Zoezi la uwekaji wa hereni kwa mifugo limekuja kufuatia agizo la serikali kupitia wizara ya

mifugo na uvuvi la kutaka halmashauri zote nchini kufanya hivyo ili kuiwezesha serikali kupata

taarifa kamili juu ya idadi ya mifugo yote iliyopo nchini iliiweze kuisimamia ikiwa ni pamoja na

kutafuta masoko ya kimataifa kwa lengo la kuwafanya wafugaji kuwa na soko la uhakika.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020/2021 December 18, 2020
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020 January 17, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI January 18, 2021
  • Tangazo la Nafasi za kazi May 26, 2022
  • Angalia yote

Habari za hivi punde

  • Changamoto ya mawasiliano kubaki historia Malinyi

    January 10, 2023
  • Changamoto ya mawasiliano kubaki historia Malinyi

    January 10, 2023
  • Sherehe ya muungano yaadhimishwa kwa upandaji miti

    April 26, 2022
  • Malinyi inatarajia kutekeleza zoezi la utambuzi wa mifugo

    April 23, 2022
  • Angalia yote

Video

DAS MALINYI AKIKABIDHI PIKIPIKI KWA WARATIBU ELIMU KATA
Video zaidi

Tovuti za haraka

  • Matangazo
  • Habari za Hivi punde

Tovuti Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Tovuti ya Ajira
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2022
  • Matokeo ya Kidato cha Nne
  • SALARY SLIP PORTAL
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi

    Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro

    Telephone: 0643111999

    Mobile:

    Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.