Posted on: July 26th, 2018
Wanafunzi wametakiwa kujituma katika masomo yao ili kuweza kufikia katika malengo waliyojiwekea.
Kauli hiyo imetolewa wilayani malinyi na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa 2018 char...
Posted on: July 6th, 2018
Viongozi wilayani malinyi wametakiwa kuendele kuhamasisha jamii juu ya elimu ya afya na usafi wa mazingira hususani katika ujenzi na matumizi ya vyoo bora.
Kauli hiyo imetolewa na mgeni rasmi wakat...
Posted on: July 2nd, 2018
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr Kebwe Steven Kebwe amewataka wakazi wa malinyi kupanda miti ili kuondokana na uharibifu wa mazingira unaojitokeza.
Ameyasema hayo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika k...