Posted on: October 24th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mheshimiwa Sebastian Waryuba ameongoza Kikao cha Jukwaa la Maridhiano Wilaya ya Malinyi. Kikao hiko kimefanyika tarehe 23 Oktoba 2025 katika Ukumbi wa Halmashauri.
Jukwaa ...
Posted on: October 15th, 2025
Katibu Tawala Wilaya ya Malinyi ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Michezo ya Wilaya Ndugu Saida Abbas Mhanga amefungua Ligi ya Mpira wa Miguu ya Amani Cup tarehe 14 Oktoba 2025.
Ligi hii ya Aman...
Posted on: October 8th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mheshimiwa Sebastian Waryuba ameongoza kikao cha Baraza la Biashara Ngazi ya Wilaya. Kikao hicho kimefanyika tarehe 07 Oktoba 2025 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya M...