Posted on: October 29th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mheshimiwa Sebastian Waryuba mapema leo Oktoba 29,2025 asubuhi amepiga Kura katika Kituo cha Shule ya Msingi Ngongwa.
Kwa upande wa Katibu Tawala Ndugu Saida Abbas Mhanga ...
Posted on: October 26th, 2025
Katibu Tawala Wilaya ya Malinyi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Michezo ya Wilaya ya Malinyi Ndugu Saida Abbas Mhanga amefunga kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mheshimiwa Sebastian Waryuba...
Posted on: October 24th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mheshimiwa Sebastian Waryuba ameongoza Kikao cha Jukwaa la Maridhiano Wilaya ya Malinyi. Kikao hiko kimefanyika tarehe 23 Oktoba 2025 katika Ukumbi wa Halmashauri.
Jukwaa ...