Posted on: February 8th, 2018
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Malinyi limekaa kikao chake cha kawaida cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2017/2018. Kikao hicho kilipokea taarifa toka Kamati za Kudumu za Baraza la Ma...
Posted on: January 12th, 2018
Moja ya matendo yanayohatarisha ustawi wa sekta ya Uvuvi ni tendo la uvuvi haramu. Katika picha hapo juu ni makokoro yaliyokuwa yakitumiwa na wavuvi katika mwambao wa mto Kilombero kwa upande wa wilay...
Posted on: January 12th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Dk. Steve Kebwe alitembelea wilaya ya Malinyi tarehe 08.10.2017 katika ziara yake ya kutembelea wilaya za mkoa wa Morogoro kuhamasisha na kuhimiza wananchi kulima zao pamb...