Posted on: September 6th, 2017
Jumlaya wanafunzi 2206 wa darasa la saba wilayani malinyi mkoani morogoro wameanza mtihani wa taifa hii leo.
Mtihani huo ambao utafanywa kwa muda wa siku mbili jumatano na alhamisi huku wavul...
Posted on: August 18th, 2017
Watu wa Kabila la jamii ya wafugaji wamewapiga na kuwajeruhi maeneo mbalimbali ya miili yao wakulima katika wilaya ya malinyi.
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo Laurent kidunda ambaye pia ni ndug...
Posted on: August 16th, 2017
Zaid ya nyavu haramu 5 (makokoro) na vyandarua 8 vinavyotumika katika kuvua samaki zimeteketezwa na moto hii leo.
wakati wa zoezi hilo ambalo limeshirikisha jeshi la polisi wilaya na ofisi ya idara...