Wakulima katika vijiji kumi wilayani malinyi wameadhimisha siku yao wilayani humo kwa mwaka wa fedha 2017/2018.
Maadhimisho hayo ambayo yameadhimishwa kwa kwenda katika mashamba ya mpunga Itete na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wakulima wenyewe.
Aidha mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk Kebwe Steven Kebwe huku lengo ikiwa ni kilimo shadidi kuzingatia mbegu na maji kidogo lakini kupata mavuno mengi.
Hat hivyo kabla ya maadhimisho hayo awali walifanya ziara mbalimbali katika mashamba darasa huku waliowezesha kufanikiwa maadhimisho hayo ni mradi wa kuongeza uzalishaji na tija zao la mpunga.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.