Mvua zinazoendelea kunyesha zimeleta uharibifu mkubwa ikiwemo kukatika kwa Mawasiliano ya barabara kuu inayoingia na kutoka mjini Malinyi,kutokana na hali mbaya ya barabara hiyo magari yote yanayokuja wilayani hapa yanalazimika kuishia katika kijiji cha Misegese zaidi ya Km 10 kutoka Malinyi mjini.
Mbali na uharibifu huo wa barabara mvua hizo zimeharibu baadhi ya makazi ya watu pamoja na mashamba mifugo na hata vifo vya watu kadhaa. Hivyo wananchi wanapaswa kuchukua tahadhari hasa kwa watoto.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.