Ofisi za mahakama ya mwanzo wilayani malinyi zimeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.
Mmoja wa mashuhuda katika eneo hilo Ibrahim Mpapai ameeleza kuwa moto huo usadikika kutokea majira ya saa 7 usiku huku chanzo chake hakijulikani.
Aidha kamanda wa polisi wilayani humo MANYAMA amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa uchunguzi bado unaendelea ili kubaini chanzo cha moto huo huku na wanamshulikia mlinzi aliyekuwa zamu kwa siku ya jana kwa maelezo zaid.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.