watumishi wa halmashauri ya wilaya ya malinyi wapongezwa kwa kuwa wabunifu kwenye kilele cha wiki ya utumishi wa umma.
Kauli hiyo imetolewa na katibu tawala mkoa morogoro Crifot Tandari kwenye kilele cha siku hiyo kilichofanyika katika tarafa ya mtimbira wilayani humo.
Tandari amesema kuwa amefurahishwa sana na ubunifu ulioonyeshwa na watumishi hao kwani dhahiri inaonyesha ni kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi.
Hata hivyo amewataka pia kufanya kazi kwa kuzingatia sheria kanuni taratibu na miongozo iliyopangwa ili kuzidi kufikia malengo .
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.