Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi imedhamilia kuongeza uandikishaji wa wanachama wa CHF ILIYOBORESHWA hadi kufikia asilimia hamsini. Akiongea katika kikao cha wadau wa CHF mkoani Morogoro, Manager wa CHF Wilayani Malinyi ndug Jabil Nassoro alisema sasa ni kipindi cha mavuno hivo atahakikisha kaya nyingi zinaandikishwa kwenye kipindi hiki.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.