Januari 3, 2024 Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba amekabidhi pikipiki 5 kwa Maafisa ugani katika Wilaya ya Malinyi.
Mhe. Waryuba amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwafikia Wananchi wa Wilaya ya Malinyi katika Sekta hii ya kilimo na amewataka Maafisa Ugani hao kutumia pikipiki hizo kuwatembelea Wakulima, Wafugaji na Wavuvi ili kutoa elimu na kutatua changamoto zinazowakabili.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.