Halmashauri ya wilaya yamalinyi imeandaa futari kwa ajili ya maislamu wilayani humo .
Aidha futari hiyo ambayo wamehudhuria viongozi mbalimbali wa halmashauri na waumini mbalimbali wa dini ya kiislam ikiwa ni mwendelezo wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan katika msikiti wa Bakwata.
Hata hivyo kwa upande wa uongozi wa msikiti huo umeshukuru uongozi wa Halmashauri kwani imeonyesha kuwajali na kuwathamini katika kipindi hiki kwani wapo ambao wanafuturu msikitini.
Wilaya ya Malinyi huandaa futari kwa kila kipindi hiki ili kuwa pamoja na wanaofunga na kufanya toba.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.