Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba leo Julai 19, 2023 atoa maagizo kwa Afisa Elimu Wilaya ya Malinyi na Mkuu wa Shule ya Sekondari Kipingo kutengeza mfumo utakaowasaidia Wanafunzi wenye madarasa ya mitihani kufanya mazoezi ya mara kwa mara bila kuathiri uchumi wa wazazi wa Wanafunzi na pia kuhakikisha Waalimu wa mazoezi (kujitolea) wana uwezo wa kutoa matokeo chanya.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.