April 9, 2024 KUU ya Mkoa wa Morogoro ikiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Mussa Ali Mussa imefanya ziara ya kukagua miradi ya Mwenge wa Uhuru Wilayani Malinyi.
Katika ziara hiyo pia alikuwepo Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Bi Rose Robert Manunba, Katibu Tawala wa Wilaya Bi Saida Mhanga, Katibu wa CCCM Wilaya Ndugu Abdulrahim Hamid, pamoja na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo.
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kupokelewa Wilaya ya Malinyi mapema April 24, 2024 kutoka Wilaya ya Mlimba, mapokezi hayo yatafanyika Itete Misheni na mkesha unatarajiwa kufanyika katka Kata ya Mtimbira na April 25 Mwenge wa Uhuru utakabidhiwa Wilaya ya Mlimba.
KAULI MBIU: "TUNZA MAZINGIRA NA SHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA UJENZI WA TAIFA ENDELEVU"
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.