Maadhimisho ya siku ya usafi Wilayani Malinyi yamefanyika katika Maeneo mbali mbali, ambapo wafanyakazi wa Makao Makuu waliadhimisha kwa kufanya Usafi Maeneo ya kuzunguka Majengo ya Halmashauri. Katika kuadhimisha siku hiyo wafanyakazi walifyeka nyasi, kudeki na kusafisha maeneo mbali mbali ya Majengo ya Halmashauri.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.