Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Malinyi Bi.Hawa Mpossi leo tarehe 25 ,agosti 2020 amewateua wagombea watano wa ubunge kugombea katika uchaguzi oktoba 28,2020.
Wagombea hao ni;
1.Antipas Mgungusi (CCM)
2. Edson Makinda(ACT-WAZALENDO)
3. Edward Chaya(NCCR-MAGEUZI)
4. Hadija Fussi(CUF)
5.Imelda Malley(CHADEMA)
Akiongea na wagombea hao Bi.Mpossi amewaasa wagombea hao kutunza amani wakati wote wa kampeni na kufanya kampeni ambazo hazitaleta mgongano kati ya chama kimoja na kingine kwa kufuata na kuzingatia ratiba iliyowekwa. Na mwisho amewatakia kila mgombea mafanikio mema katika kampeni zao.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.