Januari 8, 2024 Shule za Sekondari na Msingi zimefunguliwa kote nchini, Pichani ni Wanafunzi wa darasa la awali waliopokelewa katika shule ya msingi mpya ya Misegese Wiilayani Malinyi Mkoani Morogoro ikiwa ni shule mbili mpya zilizojengwa na Serikali kupitia Mradi wa BOOST. Pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha sekta ya Elimu.
MAMA AMETUSIKIA NA AMETUFIKIA
MAMA AMELIPA ADA
MAMA AMEJENGA MADARASA
Ewe mzazi hakikisha unampeleka mtoto wako shule
Elimu ni haki ya msingi kwa Watoto wote
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.