Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Sebastian Waryuba funguo ya gari kwaajili ya shughuli za kiutawala kwa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Wilaya ya Malinyi ikiwa ni miongoni mwa magari 6 ambayo yametolewa na Serikali Kuu Januari 6, 2024 Mkoani Morogoro. Magari hayo pia yametolewa kwa Halmashauri ya Kilosa, Ulanga, Morogoro Vijijini na Ofisi ya Mganga wa Mkoa.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.