Posted on: January 12th, 2018
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi. Dorothy Mwanyika, tarehe 11.01.2017 alitembelea wilaya ya Malinyi kujionea maendeleo ya mradi wa upimaji ardhi za vijiji na kuwezesha ...
Posted on: January 7th, 2018
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla ametembelea Eneo la Hifadhi lenye Mgogoro Wilayani Malinyi. Eneo hilo ambalo ni Hifadhi limekuwa likilimwa na Wananchi kwa muda mrefu na kusababish...
Posted on: December 14th, 2017
Ujimbaji wa Visima unaoendelea Wilayani Malinyi unaendelea kuimarisha upatikanaji wa Maji katika Wilaya hiyo. Uchimbaji huo unaendelea sehemu mbali mbali za Wilaya ya Malinyi. Pichani ni Mhandisi wa M...