Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Ndugu Khamis Katimba kuongoza Msafara wa Timu ya Michezo ya Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi inayokwenda kushiriki Mashindano ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa (SHIMISEMITA) yanayofanyika jijini Tanga kuanzia tarehe 15 Agosti 2025 hadi tarehe 29 Agosti 2025.
DED Khamis Katimba wakati wa kuwakabidhi Vifaa vya Michezo Wanamichezo hao wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, Amewaombea kila la heri kwenye Mashindano hayo ya SHIMISEMITA na amewataka warudi na Makombe kama Mwaka jana (Mwaka uliopita)
Kauli Mbiu ya Mashindano ya SHIMISEMITA "Jitokeze Kupiga Kura kwa Maendeleo ya Michezo"
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.