Mkurugenzi Mtendaji na Kaimu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Ndugu Khamis Katimba ameongoza Kikao cha Halmashauri kuangalia Mapato ya Halmashauri kwa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 kuanzia vyanzo, Mikakati ya Ukusanyaji na Wahusika kwa Kata zote 10 za Wilaya ya Malinyi.Katibu wa Kikao alikuwa Ndugu Jofrey Kamwava=Mkuu wa Idara ya Mipango, Kikao hiko kimehudhuriwa na Wakuu wa Idara na Vitengo, Watendaji Kata na na Vijiji.
Kikao hiko kimefanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Malinyi tarehe 09 Julai 2025. Katika Mwaka wa Fedha 2025/2026.Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi imejipangia Makisio ya Kukusanya Tsh. Billioni 4.9 ambapo kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Bajeti yenye Jumla ya Tsh. 28,337,646,000 imekuwa Approved kwa Wilaya ya Malinyi.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.