Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Malinyi ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Oktoba 14, 2024 amekutana na wawakilishi wa vya Siasa vinavyoshriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa Wilaya ya Malinyi ili kufanya tathimini ya pamoja ya zoezi la uandikishaji orodha ya wapiga kura tangu lilipozinduliwa Tarehe 11, Oktoba 2024.
Vyama vga Siasa vilivyorishiki mkutano huo ni pamoja na CCM, CHADEAM, CUF, ACT Wazalendo, CUF na TLP ambapo Wawakilishi wa vyama hivyo kwa pamoja wamekubaliana kuendelea kitoa hamasa na elimu zaidi kwa Wananchi ili weweze kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye orodha ya wapiga kura na kupiga kura.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi
Postal Address: 18 Malinyi, Morogoro
Telephone: 0643111999
Mobile:
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.